VISANGA VYA JOHN SANGA

John Sanga alikuwa mwanafunzi mwenye kipaji cha uchoraji. Siku moja alichora noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu darasani. Mwalimu alipoingia darasani aliiona noti ile na, katika kuikimbilia ile hela kuiokota akajikwaa na kuvunjika pua. Akauliza wanafunzi 'Nani aliyechora hapo chini? . Wanafunzi wote wakamtaja John. Mwalimu akaamua kumpigia simu baba yake John (Mzee Sanga). Mzee Sanga akapokea simu akiwa hospitalini kalazwa ,mwalimu akamwelezea makosa ya mwanae ,Mzee Sanga akamwambia mwalimu ;afadhali yako wewe umepasuka pua hujalazwa ,huyo mbwa jana kachora uchi wa mwanamke kwenye soketi ya umeme. Je, Msee Sanga unahisi aliumia wapi?