NYUKI WAMTIA ADABU WAZIRI
Waziri wa ufugaji katembelea mradi wa nyuki, alipofika getini mlinzi akamwambia hairuhusiwi mtu kuingia kwa sasa. Waziri kwa hasira akamjibu mlinzi kwani hujui mimi ni nani huku akimwonyesha kitambulisho
Mlinzi kwa uoga wa kumwaga unga, akamwambia haya ingia mheshimiwa. Baada ya muda mfupi, Waziri alisikika akiita Mlinzi...! NYUKI wamenivamia...!
Comments
Post a Comment